
Mbuzi catering service
Swahili Dishes
Others


CHIPS MAYAI
CHIPS MAYAI


CHIPS YAI MISHIKAKI
CHIPS MAYAI YENYE MISHIKAKI NDANI


PILAU KAVU/PLAIN


CHAPATI


MCHEMSHO WA MBUZI
MCHEMSHO WA MBUZI UNAKUA NANDIZI ZA KUCHEMSHA NA MBOGA MBOGA


ugali mbuzi
Nyama ya mbuzi inakua ya kuchoma na ugali sembe


chips mbuzi
Mbuzi ya kuchoma na chips


ugali mishikaki
Mishikaki ya kuchoma ya nyama ya ng'ombe na ugali sembe


mishikaki na chips
Mishikaki na chips mishikaki ya kuchoma pia ni ya ng'ombe


chips kuku
karibu mteja kwa chips kuku tamu kutoka MCS


ugali kuku
Kuku robo ya kuchoma na ugali sembe


chips samaki
Samaki sato mmoja wa kukaanga na chips kavu


chips kuku vuruga
kuku wakienyeji anatengenzwa makange anavulugwa na chips kuku an...
-image.png)

ugali kuku makange
Kuku nusu makange na ugali kuku wa kienyeji kalibuni san wateja


ugali mbuzi roast
Mbuzi posheni moja lost na ugali sembe


ng'mbe na ugali
Ng'ombe foil na ugali wa sembe


FUTARI
Karibu kwa futari katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan


KISINIA (MIXER)
Kenye hiki kisinia unapata chips mayai,nyama za kuku,ndizi za kukaanga...


Ndizi na Nyama ya Ng...
Kwa Ndizi tamu mixer na nyama ya ng'ombe unapata karibuni wateja


Pilau Nyama
unapata pilau,nyama ya Ng'ombe na kachumbari iliokatwa vizuri


Kisinia mixer 2
katika hiki kisinia mteja unapata chips kavu,pilau,pilipili ya maji,ka...


Mshikaki
Mshikaki wenye vipande vya ki-VIP karibuni wateja


Wali Samaki na mboga...
Unapata wali, roast ya samaki mkubwa wa ki-VIP,,maharage,mchicha,bamia...


Pilau kuku
unapata pilau,nyma ya kuku na nyama ya ng'ombe karibuni sana wateja